TIGO, TECNO WAZINDUA SIMU YA KISASA KWA BEI POA

Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali nchini , Tigo Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya simu za mkononi TECNO  kuzindua simu mpya za mfululizo wa TECNO , ijulikanayo kama TECNO Spark 9. Simu za kisasa za TECNO Spark 9 zinakuja zikiwa na intaneti BURE ya GB 78 kwa mwaka mzima kutoka kwa Tigo, na kuhakikisha kuwa